Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

2.5 · Android - Bởi Tanzania Tech Media

· 05/05/2020 16:25 (4 năm trước)

Giới Thiệu · Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

Kama unapenda kusikiliza Nyimbo Mpya za Tanzania basi Nyubeat ni app nzuri Kwako, App hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kusikiliza nyimbo mpya za Tanzania kwa urahisi na haraka kuliko chanzo chochote hapa Tanzania.

Kitu kizuri kuhusu App hii ni kuwa ni rahisi sana kutumia na utaweza kudownload nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania, pia kuanzia leo usijali kuhusu nyimbo yoyote mpya kwani hata kabla haijafika redioni utapata taarifa notification kwa ajili ya kudownload nyimbo mpya moja kwa moja kupitia simu yako.

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya za bongo flava, au nyimbo mpya za dini za Tanzania, au kama wewe ni mpenzi wa video mpya kutoka Tanzania basi App hii ni nzuri sana kwako.

App ya Nyubeat haina sehemu nyingi za kubonyeza kwani tunajua wewe ni mpenzi wa nyimbo hivyo unahitaji kupata unachotafuta. Kwa kutumia sehemu ya kutafuta unaweza kupata nyimbo yoyote kutoka Tanzania, iwe ni nyimbo za mwaka 2017 hadi mwaka 2019 zote utazipata kupitia app hii.

Kwa sasa bado tunaendelea kuboresha app hii na kuongeza vipengele vipya vitakavyo kusaidia kupata nyimbo mpya za Tanzania kwa haraka zaidi.

Full Specifications · Google Chrome Zing MP3

Phiên bản 2.5
Cập nhật 05/05/2020 (4 năm trước)
Nhà phát triển Tanzania Tech Media
Thể loại MP3 & Audio Software
Hệ điều hành Android
Hệ điều hành cài đặt Android
Yêu cầu Requires Android 4.1 and up
Lượt tải về 396,897

Bình luận